You are currently viewing HAPPY C ATANGAZA UJIO WA EP YAKE MPYA

HAPPY C ATANGAZA UJIO WA EP YAKE MPYA

Msanii wa muziki kutoka 001 music Happy C ametangaza ujio wa EP yake mpya ambayo ana mpango wa kuachia ndani ya mwaka huu wa 2022.

Akiwa kwenye moja ya interview  happy C amewataka mashabiki wake kukaa mkao wa kula kuipokea EP yake hiyo ambayo kwa mujibu wake itakuwa na jumla ya mikwaju 5 ya moto.

Hata hivyo hajeweka wazi jina la EP wala tarehe rasmi ambayo EP yenyewe itaingia sokoni ila amesema uongozi wake wa 001 music ndio utahamua siku ambayo EP yake hiyo itaachiwa.

Hii unaenda kuwa EP ya pili kwa mtu mzima Happy C ikizingatiwa kuwa mwaka wa 2021 aliwabariki mashabiki zake na EP iitwayo Karata tatu ambayo ilikuwa na jumla ya mikwaju tatu ya moto.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke