You are currently viewing HARMONIZE ABADILI RATIBA YA TAMASHA LAKE LA AFRO EAST CARNIVAL

HARMONIZE ABADILI RATIBA YA TAMASHA LAKE LA AFRO EAST CARNIVAL

Staa wa Muziki Nchini Tanzania Harmonize ametangaza mabadiliko ya Ratiba ya Kufanyika kwa tamasha lake la Afro East Carnival kutoka siku tatu hadi siku mbili.

Kupitia ukurasa wa Instagram harmonize_amesema kwa sababu ambazo zipo  nje ya uwezo wake sasa tamasha hilo litaanza Siku ya ijumaa na kumalizika Jumamosi wiki hii,nhaa sio Alhamisi kama ilivyotangazwa mwanzo.

“Tulitamani Sana ….!!!! Kuimba Nanyi Siku (3) Ila Kutokana Na Sababu Zilizo Nje Ya Uwezo Wetu Tumeridhiaa Kuipisha Siku Ya Alhamisi..Kuacha Shughuli Zaki Elimu Ziendele…. SO YESS LETS GO FRIDAY & SARTUDAY afro east carnival TABATA SHULE”.

Ukumbukwe tamasha la Afro East Carnival’ litafanyika Jijini Dar Es Salaam machi 4 mwaka huu. Kwa mujibu Harmonize, tamasha hilo litawakutanisha kwenye steji moja nyota wakubwa kwenye kiwanda cha muziki Afrika Mashariki.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke