You are currently viewing HARMONIZE ATANGAZA TAREHE YA KUACHIA ALBUM YAKE MPYA

HARMONIZE ATANGAZA TAREHE YA KUACHIA ALBUM YAKE MPYA

Msanii wa Bongofleva Harmonize hatimaye ameiweka wazi tarehe ya kuiachia album yake mpya iitwayo “High School”.

Album hiyo ambayo ilipaswa itoke mwezi huu wa haitotoka kutokana na sababu mbalimbali hivyo imesogezwa mbele hadi Novemba 5 mwaka huu.

Hii ni habari njema kwa mashabiki wa mkali huyo wa “Teacher” ambao wanaisubiri “High School album” kwa hamu kubwa.

Ikumbukwe, hii inaenda kuwa album ya pili kwa mtu mzima Harmonize baada ya “Afro East” iliyotoka mwezi Machi mwaka wa 2020.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke