Instagram inafanya majaribio ya kuongeza urefu wa video katika Instagram Stories.
Kwa kawaida limit ya urefu wa video ni Sekunde 15, hivyo ukiweka video ya urefu wa Sekunde 60 inakatwa mara nne, kitu ambacho wengi hawapendi.
Instagram imeanza majaribio ya kuongeza urefu wa video katika Insta Stories kuwa sekunde 60 (Dakika 1).