You are currently viewing INSTAGRAM KUWEKA SEHEMU YA KUPOST KATIKA TOVUTI YAKE

INSTAGRAM KUWEKA SEHEMU YA KUPOST KATIKA TOVUTI YAKE

Mtandao wa Instagram unatarajiwa kuweka uwezo wa kupost kwa kutumia tovuti ya Instagram katika kompyuta. Watumiaji wa kompyuta watakuwa na uwezo wa ku-upload videos na picha katika akaunti za Instagram kwa kupitia website ya Instagram.

Hii ni feature ambayo watu wengi sana wanaihitaji hasa Account Managers na watu ambao wanatumia kompyuta katika shughuli mbalimbali. Badala ya ku-copy content kwenye simu ili utumia app ya Instagram katika simu, watu watakuwa na uwezo wa kutumia kompyuta kupost Instagram.

Feature hii imechelewa sana kuwekwa kwa kampuni ya facebook imekuwa iki-promote app ya Instagram. Facebook imekuwa na full-features katika tovuti  yake lakini bado haikuweka feature ya kupost katika tovuti ya Instagram.

Feature hii inaanza kutoka wiki hii kwa baadhi ya watumiaji  ila itatoka taratibu kwa watumiaji wote wa tovuti ya Instagram.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke