You are currently viewing INSTAGRAM KUWEKA UWEZO WA CONTENT ZA KULIPIA

INSTAGRAM KUWEKA UWEZO WA CONTENT ZA KULIPIA

Instagram ipo katika hatua ya kuweka mfumo wa watu kulipia contents. Mabadiliko ya kuweka Subscription yatapelekea watumiaji kulipia gharama ili kupata baadhi ya post, Insta Stories, na videos za Instagram ambazo zitakuwa zinaonekana kwa Followers ambao wanakulipa kila mwezi kupata nafasi ya kuona post na Insta stories hizo.

Kuanzia wiki hii, tayari katika App Store, katika taarifa za Instagram, check details zake kwa chini utaona Instagram imeonyesha kutakwepo gharama mpya ambazo waundaji wa maudhui wataweza kuchagua watu walipe. Kuna gharama za Instagram Badge na Subscription ya kila mwezi mmoja.

Ni sawa na Twitter iliweka sehemu ya Super Follow ambayo content creator wanaweza kuweka contents maalum za followers. Kuna followers wa kawaida ambao wanaona content za bure na followers ambao wanalipia kupata exclusive tu. Bado kuna changamoto kuwa watu wataweza ku-screenshot na kushare content ambazo zimewekwa kwa watu waliolipia tu!

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke