Mwimbaji mkongwe kutoka nchini Marekani, Jennifer Lopez ametangaza ujio wa Album yake mpya ambayo ameipa Jina la “This Is Me… Now” ambayo itatoka mwaka 2023.
Album hiyo ina jumla ya nyimbo 13 huku wimbo namba moja ambao ni “This Is Me… Now” ukibeba jina album hiyo.
Album hii itazifuata album zake nyingine kama; J.Lo, On the 6, This is Me then, Rebirth, Love Don’t Cost a Thing, A.K.A, Brave na Como Ama una Mujer