You are currently viewing JUA CALI AWACHANA WASANII WALIOGEUKIA SIASA NCHINI KENYA

JUA CALI AWACHANA WASANII WALIOGEUKIA SIASA NCHINI KENYA

Msanii mkongwe kwenye muziki nchini Jua Cali amewatolea uvivu wasanii ambao wamejiunga na siasa kwa kusema wengi wao hawana vigezo vya kuwa viongozi.

Katika mahojiano na SPM Buzz Jua Cali amesema wasanii wamekimbilia siasa kwa sababu wengi wao wana njaa ya kutaka kupata pesa kwa njia ya haraka ila kiuhalisia hawana wito ajenda ya kuwatetea wananchi.

Hata hivyo hitmaker huyo wa ngoma ya “Kiasi” amesisitiza kwamba ataendelea kufanya muziki wake hadi mwisho wa dunia huku akisema kuwa hana mpango wa kujiunga na siasa kwani atakuwa anawadanganya wakenya.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke