You are currently viewing Justin Bieber auza mkusanyiko wa nyimbo zake zote ‘music catalog’

Justin Bieber auza mkusanyiko wa nyimbo zake zote ‘music catalog’

Mwanamuziki Justin Bieber ameuza mkusanyiko wa nyimbo zake zote ‘music catalog’ kwa kiasi cha zaidi ya KSh. Bilioni 24. Bieber ameuza kazi hiyo ya mdomo wake kwa Kampuni ya Hipgnosis Songs Capital ambayo imetangaza rasmi leo kwenye taarifa kwa Waandishi wa habari.

Kampuni hiyo inatajwa kununua haki zote za Muziki wa Justin Bieber ikiwemo Publishing copyrights, Master Recordings na neighboring rights. Kwenye Muziki wake, Justin Bieber amefanikiwa kuachia Jumla ya Album (6), EP (2) na kutengeneza zaidi ya nyimbo 70.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke