You are currently viewing K2GA AACHIA RASMI EP YAKE MPYA “SAFARI”

K2GA AACHIA RASMI EP YAKE MPYA “SAFARI”

Msanii wa muziki wa Bongofleva K2ga ameachia rasmi EP yake mpya inayokwenda kwa jina la Safari.

Safari  EP ina jumla ya ngoma tatu za moto ambazo amezifanya bila kumshirikisha msanii yeyote. EP hiyo ina nyimbo kama Ni Wewe, Danga na Goma.

Safari ni EP ya kwanza kwa mtu mzima K2ga  tangu aanze safari yake ya muziki na inapatikana ‘Exclusive’ kupitia digital platform tatu ambazo ni Youtube, Audiomack na BoomPlay.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke