You are currently viewing KAA LA MOTO AWEKA WAZI JINA LA ALBUM YAKE MPYA

KAA LA MOTO AWEKA WAZI JINA LA ALBUM YAKE MPYA

Rapa kutoka Kenya Kaa La Moto ametaja Jina la Album yake mpya anayotarajia kuachia hivi karibuni.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Kaa La Moto ameshare cover ya album yake mpya na kutusanua kuwa album yake hiyo ambayo anaiandaa chini studio za Kubwa Studios mjini mombasa Itaitwa LESO YA MEKATILILI.

Licha ya kutoweka wazi idadi ya ngoma zitakazopatikana kwenye album yake ya LESO YA MEKATILILI, Hitmaker huyo wa Dear Hihop hajatuambia tarehe ambayo album hiyo itaingia sokoni rasmi. ila ni jambo la kusubiriwa.

Hii itakuwa ni album ya pili kutoka kwa mtu mzima Kaa La Moto baada ya kesi ya mwaka wa 2019

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke