You are currently viewing KALIFAH AGANAGA ATILIA SHAKA MFUMO WA UCHAGUZI UTAKAOTUMIWA NA MUUNGANO WA WANAMUZIKI NCHINI UGANDA

KALIFAH AGANAGA ATILIA SHAKA MFUMO WA UCHAGUZI UTAKAOTUMIWA NA MUUNGANO WA WANAMUZIKI NCHINI UGANDA

Mwanamuziki wa dancehall kutoka nchini Uganda Kalifah Aganaga ametoa wito kwa muungano wa wasanii nchini humo kutofanya uchaguzi wa kuwachagua viongozi wapya kwa njia ya mtandao.

Hitmaker huyo wa ngoma ya “Kiboko” amesema wasanii wengi nchini humo hasa chipukizi wamefulia kiuchumi, hivyo hawana uwezo wa kununua vifurushi vya kupigia kura mtandaoni.

Utakumbuka Kalifah Aganaga ametia nia ya kugombea wadhfa wa unaibu rais katika muungano wa wasanii nchini uganda kwenye uchaguzi wa kuwachagua viongozi wapya wa muungano huo utakaofanywa hivi karibuni.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke