You are currently viewing KENDRICK LAMAR ADOKEZA KUHUSU UJIO WA ALBUM YAKE MPYA

KENDRICK LAMAR ADOKEZA KUHUSU UJIO WA ALBUM YAKE MPYA

Mkali wa hiphop duniani Kendrick Lamar hakuwa ametumbuiza kwenye ardhi ya Marekani kwa siku 730, tamasha la Day n Vegas lililofanyika Novemba 12 mwaka huu ndio lilikuwa onesho lake la kwanza kutumbuiza katika kipindi chote hicho cha miaka miwili.

Hakuondoka hivi hivi stejini, Kendrick Lamar amedokeza juu ya ujio wa album yake kwa kuwaambia mashabiki zake kwamba atarudi hivi karibuni.

Ni miezi miwili imepita tangu Kendrick ;Lamar avunje ukimya wake wa miaka 4 kwa kuibuka kwenye mitandao ya kijamii na kudokeza kuhusu ujio wake mpya ambao aliutaja kama wa mwisho chini ya label ya Top Dawg Entertainment ambayo amekuwa nayo kwa miaka 17.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke