You are currently viewing KHALIGRAPH JONES ATOA CHANGAMOTO KWA WASANII WAKENYA KUKUZA BRAND ZAO

KHALIGRAPH JONES ATOA CHANGAMOTO KWA WASANII WAKENYA KUKUZA BRAND ZAO

Rapper Khaligraph Jones amesema muziki wa Kenya ulipofika ni wakati wasanii kujitambua na kwendana na nyakati zilizopo kuanzia kazi zao hadi muonekano kwa watu.

Akizungumza na Presenter Ali hitmaker huyo wa “Mbona” amesema muonekana wa msanii mbele ya mashabiki wake una nafasi katika kuuza muziki wake anaofanya.

Khaligraph Jones amesema kuwa msanii si kuandika nyimbo tu na kuingia studio kurekodi bali hata muonekano wake ni kitu cha kuzingatia.

Hata hivyo ameongeza kuwa muuoneka wake ndio kila kitu kwenye muziki wake japokuwa muda mwingine inakuwa tabu kwake kwa kuwa baadhi ya mashabiki wake hufikiri ana fedha nyingi kitu ambacho si kweli

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke