Baby mama wa rapa Kanye west, Kim Kardashian ameiomba Mahakama kuharakisha mchakato wa talaka.
Kwa mujibu wa Radar Online, Mwanasheria wa Kim Kardashian alikuwa mahakamani wiki hii akifuatilia jambo hilo.
Nyaraka zilizo mbele ya mahakama zinaeleza wazi kwamba Kim hataki kupatanishwa na Kanye west au ushauri wowote kuhusu kurudiana.