Licha ya kutalikiana na Kanye West, Kim Kardashian bado anaamini kwenye kuolewa. Ameweka wazi kuwa atafunga ndoa nyingine ambayo itakuwa ya Nne kwenye maisha yake.
Kwenye episode ya Keeping Up with The Kardashians, Kim alisema “Naamini kwenye mapenzi, ndio maana natumai kutakuwa na ndoa nyingine kwangu. Kwa mara ya Nne.
Kim Kardashian alifunga ndoa ya kwanza na Damon Thomas mwaka 2000 na ilivunjika mwaka 2004, ya pili alifunga Kris Humpries mwaka 2011 na ilivunjika 2013. Ndoa yake ya tatu ilikuwa na Kanye West 2014 hadi 2022.