You are currently viewing KIM KARDASHIAN NA HOFU JUU YA ‘SEX TAPE’ YAKE NYINGINE KUVUJA

KIM KARDASHIAN NA HOFU JUU YA ‘SEX TAPE’ YAKE NYINGINE KUVUJA

Staa wa vipindi vya Tv na mwanamitindo Kim Kardashian, ameripotiwa kuajiri wakili mwingine ili kumzuia Ray J ambaye ni mpenzi wake wa zamani asivujishe mkanda wake mwingine wa ngono.

Kwa mujibu wa gazeti la The Sun, Kim Kardashian amewaita mawakili wafanye jitihada za kuzuia kanda nyingine ya ngono kuwekwa hadharani.

Kim anahofia Ray J ambaye alishiriki naye kwenye video hizo kuzivujisha, amedai mpenzi wake huyo wa zamani anapanga kutengeneza mamilioni kwa kuachia video zingine hivi karibuni.

Chanzo kimoja kilisema: “Kim anajua kuwa Ray J alitengeneza kanda hizo wakiwa pamoja, baadhi ya video zitakuwa ziko karibu sana kutoka.

Ikumbukwe Kim Kardashian alirekodi video hizo akiwa na miaka 27, akiwa na Ray J.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke