You are currently viewing KIM KARDASHIAN NA PETE DAVIDSON WALIANIKA PENZI LAO HADHARANI

KIM KARDASHIAN NA PETE DAVIDSON WALIANIKA PENZI LAO HADHARANI

Kim Kardashian na Pete Davidson wamethibitisha rasmi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi.

Mtandao wa Daily Mail imethibitisha hilo kufuatia wawili hao kuonekana pamoja wakiwa wameshikana mikono kimahaba Novemba 14 mwaka huu huko  Palm Springs, California nchini Marekani.

Tetesi za Kim na Pete kutoka kimapenzi zilianza baada tu ya kipindi cha SNL mwezi uliopita ambapo Kim Kardashian alialikwa kama Host, baada ya hapo ilifuata mitoko ya kila siku wakiwa pamoja kwenye maeneo ya kula bata.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke