You are currently viewing KING SAHA AKIRI KUTUMIA BANGI KWA WINGI KIPINDI CHA KORONA

KING SAHA AKIRI KUTUMIA BANGI KWA WINGI KIPINDI CHA KORONA

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda King Saha ameingia kwenye headlines mara baada ya kukiri hadharani kuwa alitumia sana bangi kwa wingi kipindi cha corona.

Katika mahojiano yake hivi karibuni King Saha amesema asingetumia bangi kwa wingi angeshafariki kitambo au angeshambukizwa virusi vya korona kwani kwa mujibu wake dawa hizo alizitumia kujikinga na hadharani.

Kauli ya King Saha imekuja mara baada ya kuwaonya vijana mapema mwaka huu kujitenga na matumizi ya mihadarati kwani ina athari kubwa kwenye maishani yao.

Utakumbuka King Saha amekuwa akitajwa kama mmoja wa wasanii wanaotumia sana mihadarati nchini Uganda jambo ambalo lilipelekea msanii Bebe Cool kumuonya hadharani kuacha matumizi ya mihadarati la sivyo atapoteza mweelekeo kwenye muziki wake.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke