You are currently viewing Kings Music yatoa ratiba ya msanii wake Abdukiba.

Kings Music yatoa ratiba ya msanii wake Abdukiba.

Uongozi wa lebo yake ambao ni King’s Music imewekwa wazi ratiba ya msanii wake Abdu Kiba kuelekea mwishoni mwa mwaka 2022.

Kwa mujibu wa ratiba hiyo ambayo Kings Music walichapisha kwenye ukurasa wake rasmi wa Instagram kabla mwaka haujaisha Abdu Kiba ataachia EP yake mpya.

EP hiyo imetajwa kwenye ratiba itatoka Desemba 16, huku mwezi Novemba Abdu Kiba ataachia remix ya wimbo wake “Hainogi”.

Lakini pia atakuwa na club tour mwishoni mwa mwaka ambapo atazunguka kwenye maeneo mbali mbali ya kukulia bat nchini Tanzania.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke