You are currently viewing LAVA LAVA ATANGAZA UJIO MPYA,OKTOBA 23

LAVA LAVA ATANGAZA UJIO MPYA,OKTOBA 23

Msanii wa bongofleva kutoka WCB, Lava Lava ametangaza kuja na project mpya, Oktoba 23, mwaka wa 2021.

Lava Lava ambaye hivi karibuni amefuta picha zake zote kwenye ukurasa wake wa Instagram, amechapicha ujumbe kuhashiria Oktoba 23, mwaka huu atakuwa na kitu.

Ikumbukwe mwimbaji huyo ambaye mwaka huu ameachia  EP iitwayo ‘Promise’, tayari alitangaza kukamilika kwa albamu yake.

Mwaka huu wasanii wa WCB kama Rayvanny na Mbosso wameweza kutoa albamu zao na zinazidi kufanya vizuri.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke