You are currently viewing LEILA KAYONDOA AKANUSHA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA

LEILA KAYONDOA AKANUSHA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA

Staa wa muziki kutoka Uganda Leila Kayondo amejitenga na tuhuma za kutumia dawa za kulevya.

Katika mahojiano na Sanyuka TV amesema madai hayo hayana msingi wowote kwani yanaenezwa na watu wasiomtakia mema maishani.

Mrembo huyo amewataka mashabiki zake kupuuza taarifa hizo huku akisema kuwa uvumi huo unasambaza na aliyekuwa mpenzi wake SK Mbuga ambaye  amekuwa akiwakodisha watu mtandaoni ili wamharibia chapa yake ya muziki.

“I have seen allegations of people saying that I use drugs however, I am very sure that it is one person who is funding and spreadig such false propaganda.” ~ Leila Kayondo

Utakumbuka SK Mbuga na Leila Kayondo wamekuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi kuanzia mwaka wa 2011 hadi 2015 walipoachana kwa tuhuma za usaliti.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke