You are currently viewing LINEX AACHIA PROJECT YAKE – TATU ZA MJEDA

LINEX AACHIA PROJECT YAKE – TATU ZA MJEDA

Mkali wa muziki  Bongofleva Linex Mjeda ameachia rasmi EP yake mpya inayokwenda kwa jina la tatu za Mjeda.

Tatu za Mjeda  EP ina jumla ya ngoma tatu za moto na bonus track moja ambapo amewashirikisha wakali kama Darassa na Belle 9.

EP hiyo ina nyimbo kama Sherehe,Sina cha kupoteza na Siwema na inapatikana ‘Exclusive’ kupitia mtandao wa kukisikiliza na kupakua muziki wa Boomplay.

Tatu za Mjeda  ni EP ya kwanza kwa mtu mzima Linex tangu aanze safari yake ya muziki  baada ya dunia nyingine ya mwaka wa 2020 iliyokuwa na jumla ya mikwaju 5 za moto.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke