You are currently viewing MAGIX ENGA AACHIA RASMI EP YAKE MPYA, “MAWAZO EP”

MAGIX ENGA AACHIA RASMI EP YAKE MPYA, “MAWAZO EP”

Msanii na prodyuza wa muziki nchini Magix Enga ameachi rasmi EP yake mpya inayokwenda kwa jina la Mawazo

Ep hiyo ina jumla ya mikwaju nne ya moto huku zote akiwa amezifanya kama msanii wa kujitegemea.

Mawazo EP ambayo ina nyimbo kama Mapenzi, Nakuwaza,Ma-presure na Nisamehe  kwa sasa inapatikana exclusive kupitia mtandao wa youtube.

Hii ni EP ya pili kwa mtu mzima Magix Enga tangu aanze safari yake ya  muziki baada ya Reason EP iliyotoka mapema mwaka huu.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke