Mkali wa Bongo Fleva Marioo ameachia Tracklist ya Album yake mpya The Kid You Know ambayo itatoka rasmi Disemba 9 mwaka huu.
Album hiyo ya kwanza kwa Marioo, ina jumla ya mikwaju 17 huku ndani akiwashirikisha wakali kama Ali Kiba, Harmonize, Rayvanny, Jux, Ladipoe na wengine wengi.
Ikumbukwe, hii inakuwa ni album ya kwanza kwa Marioo katika safari yake ya muziki.