You are currently viewing MARIOO ATHIBITISHA KUKAMILIKA KWA ALBUM YAKE MPYA

MARIOO ATHIBITISHA KUKAMILIKA KWA ALBUM YAKE MPYA

Msanii wa Bongofleva, Marioo  amesema anajiandaa kuachia albamu yake mpya ambayo imekamilika.

Marioo amesema anachokifanya kwa sasa ni kutayarisha Video za nyimbo zitakazopatikana kwenye albamu hiyo kabla ya kuingia sokoni hivi karibuni.

Hata hivyo marioo hajatuambia jina la album, idadi nyimbo na wasanii aliyowashirikisha kwenye album yake hiyo ila ni jambo la kusubiriwa.

Wasanii wengine tanzania ambao tayari wametangaza kukamilika kwa albamu zao ni pamoja na Diamond Platnumz, Young Lunya, Lava Lava, Tommy Flavour, Maua Sama, Ommy Dimpoz na wengine wengi. 

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke