You are currently viewing MATATA WAACHIA RASMI UNAWARE EP

MATATA WAACHIA RASMI UNAWARE EP

Kundi la muziki la Matata limeachi rasmi EP yao mpya inayokwenda kwa jina la Unaware.

Ep hiyo ina jumla ya mikwaju nne ya moto huku zote zikiwa collabo ambazo wamezifanya na wasanii wa sol generation nviiri the storyteller na Bensoul.

Unaware EP ina nyimbo kama Matatu, Pombe na kizungu nyingi, Unaware na tulia nikupange ambapo kwa sasa inapatikana exclusive kupitia digital platforms mbalimbali za kupakulia na kusikilizia muziki duniani.

Ikumbukwe kabla ya ujio wa EP hiyo, matata walitusanua kwamba wapo kwenye maandalizi ya album yao mpya na kwanza tangu waanze safari yao ya muziki.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke