You are currently viewing MBOSSO ATHIBITISHA UJIO WA COLLABO YAKE NA PRODYUZA KRIZ BEATZ KUTOKA NIGERIA

MBOSSO ATHIBITISHA UJIO WA COLLABO YAKE NA PRODYUZA KRIZ BEATZ KUTOKA NIGERIA

Nyota wa muziki wa Bongofleva Mbosso ameunza mwaka 2022 kwa kuzitafuta ladha za kimataifa zaidi hii ni baada ya kuingia studio na mtayarishaji mkubwa wa muziki barani Afrika Kriz Beatz kutoka nchini Nigeria.

Mbosso ambaye yupo nchini Nigeria na Diamond Platnumz amepost kupitia InstaStory yake akiwa studio na Kriz Beatz huku ikionesha wazi kabisa kuna kazi mpya wanaandaa.

Kriz Beatz ni kati ya watayarishaji wakubwa wa muziki Barani Afrika waliotengeza nyimbo kali mbalimbali kama African Beauty ya Diamond Platnumz, 911 aliyowashirikisha Harmonize na Yemi Alade, Diana na Pana za Tekno.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke