Hatimaye Rapa kutoka nchini marekani meek mill Ameikata Kiu Ya Mashabaki Zake Baada Ya Kuiachia Album Yake Mpya inayokwenda kwa jina la EXPENSIVE PAIN
Meek Mill Amethibitisha Hilo Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram kwa kuandika ujumbe unaosomeka “My new album Expensive Pain out now ” akimaanisha kwamba album yake mpya sasa inapatikana kwenye digital platform zote.
Expensive Pain inakuwa album ya 5 kwa mtu mzima Meek Mill, lakini pia inavunja ukimya wake wa miaka 3 tangu alipoachia yake ya Championships