You are currently viewing MENEJA WA MSANII ADASA ADAI MAISHA YAKE YAMO HATARINI

MENEJA WA MSANII ADASA ADAI MAISHA YAKE YAMO HATARINI

Meneja wa msanii Adasa Joss K Madala amefichua kuwa amelazimika kuandikisha tarifaa katika vituo vya polisi vya Bamburi na Nyali baada kupokea jumbe za vitisho kwa muda sasa wa miezi mitatu kupitia mitandao ya kijamii.

Kwenye mahojiano na meza yetu ya habari Madala amesema kaunti takriban 7 na zingine kupitia nambari za simu zilizokuwa zimefichwa zimekuwa zikimtumia ujumbe zikimtaka kupunguzaka kasi aliokuwa ameweka kwa msaani Adasa.

“Bro nimekuwa na issues nyingi for last 3 months nimekuwa nikitishwa mpaka ikanibidi niripoti kwa polisi, awali nilikuwa nachukulia kawaida ila hizo jumbe kuna wakatti nimekuwa nikitumiwa mara kwa mara” Amesema Madala

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke