You are currently viewing MKE WA BAHATI,DIANA MARUA AGEUKIA MUZIKI

MKE WA BAHATI,DIANA MARUA AGEUKIA MUZIKI

Mke wa msanii Bahati, Diana Marua amegeukia kufanya muziki baada ya kutamba kwenye mitandao ya kijamii kwa miaka mingi. 

Diana ambaye ni mama wa watoto wawili ameachia rasmi wimbo wake wa kwanza wenye mahadhi ya HipHop ambao kaupa jina la “Hatutaachana”.

Diana Marua ambaye anafahamika kwa jina la usanii kama Diana B anajiunga kwenye orodha ya mastaa ambao hapo awali walitambulika kama washawishi wakubwa kwenye mitandao ya kijamii na baadae wakageukia kufanya muziki

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke