You are currently viewing MKE WA MIRACLE BABY CAROL KATRUE KUMFUNGULIA MASHTAKA BABY MAMA WA MSANII HUYO TASH BABY

MKE WA MIRACLE BABY CAROL KATRUE KUMFUNGULIA MASHTAKA BABY MAMA WA MSANII HUYO TASH BABY

Mke wa msanii Peter Miracle Baby, Carol Katrue amehapa kumfungulia mashataka baby mama wa msanii huyo kwa madai ya kuwakodisha watu wawaribie brand yao.

Katika mahojiano yake amesema baby mama huyo aitwaye Tash Baby amekuwa akiwalipa watu wawaribie jina kitu ambacho kimewapelekea kupoteza dili la shillingi millioni 1 kutokana na skendo ambazo zimekuwa zikiwafuata katika siku za hivi karibuni.

Kauli ya Carol Katrue imekuja mara baaada ya mrembo aitwaye Bree aliyedai kuwa ana uja uzito wa Peter Miracle Baby kujitokeza kwenye moja ya interview na kudai kuwa alilipwa shilling 3,500 na Tash Baby adanganye kuwa ana uja uzito wa msanii huyo

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke