You are currently viewing MOTOROLA YATAMBULISHA TEKNOLOJIA YAKE MPYA YA “SPACE CHARGING”

MOTOROLA YATAMBULISHA TEKNOLOJIA YAKE MPYA YA “SPACE CHARGING”

Motorola imetambulisha teknolojia yake mpya ya “Space Charging” ambayo ipo katika kifaa ambacho kinaweza kuchaji simu nne kwa pamoja katika umbali wa mita tatu.

Charging system mpya ya Motorola ina uwezo wa kuchaji simu kwa over-the-air wireless kama ilivyo teknolojia ya Xiaomi Mi Air Charge iliyotoka mwaka huu. Ni teknolojia ambazo zinachaji simu ikiwa karibu na kifaa cha kuchaji kwa mita tatu. Unachaji simu kama unavyotumia Internet au Bluetooth, hakuna ulazima wa kuchomeka cable au kuiweka katika wireless charge ya karibu.

Mfumo huu bado upo katika majaribio, itahitajika kukaguliwa na kuhakikisha hakuna madhara kiafya kwa sababu umeme unapita hewani na inaweza kuwa na madhara kiafya.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke