You are currently viewing MSANII WA BONGOFLEVA TID ADOKEZA UJIO WA ALBUM YAKE MPYA

MSANII WA BONGOFLEVA TID ADOKEZA UJIO WA ALBUM YAKE MPYA

Msanii wa Bongofleva TID ametangaza ujio wa album yake mpya ambayo ana mpango wa kuiachia ndani ya mwaka huu wa 2022.

Akizungumza na refresh TID amesema tayari album yake mpya imekamilika kwa asilimia mia moja na kilichobaki kwa sasa ni suala la kuiachia ila hajatuambia tarehe rasmi ya album hiyo kuingia sokoni.

Hitmaker huyo wa “Nyota Yangu” amesema album yake mpya itaitwa ni yeye huku akiwataka mashabiki zake wakae mkao wa kula kuipokea album hiyo kwani amefanya na wasanii mbali mbali wa bongofleva.

Hii itakuwa ni album ya nane kutoka kwa mtu mzima TID baada ya mnyama na wanyama ya mwaka wa 2014.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke