You are currently viewing MTOTO WA NICK CANNON AFARIKI DUNIA KWA SARATANI YA UBONGO

MTOTO WA NICK CANNON AFARIKI DUNIA KWA SARATANI YA UBONGO

Staa wa vipindi vya tv, na mchekeshaji toka Marekani, Nick Cannon ametangaza kumpoteza mtoto wake wa Kiume Zen aliyekuwa na umri wa miezi mitano.

Akizungumza hilo kwa mara ya kwanza jana Jumanne kupitia show yake ya The Nick Cannon Show, amesema mtoto huyo amefariki kufuatia kusumbuliwa na saratani ya ubongo.

“Over the weekend I lost my youngest son to a condition called hydrocephalus that is pretty much a malignant, midline brain tumor — brain cancer,” – Anasikika Nick Cannon akieleza. 

Zen alikuwa mtoto wa Saba kwa Nick Cannon na alimpata na mrembo Alyssa Scott.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke