You are currently viewing MWANAMUZIKI KUTOKA COLOMBIA MALUMA KUTUA AFRIKA HIVI KARIBUNI

MWANAMUZIKI KUTOKA COLOMBIA MALUMA KUTUA AFRIKA HIVI KARIBUNI

Tegemea ujio wa nyota mkubwa wa muziki wa kilatin kutoka taifa la Colombia Maluma ndani ya bara la Afrika katika siku za hivi karibuni.

Maluma ambaye ametikisa dunia kwa mikwaju yake tofauti tofauti ikiwemo ngoma ya ” Mama Tetema” aliyoshirikiana na nyota wa muziki nchini Tanzania rayvanny., amethibitisha hilo kupitia insta story yake kwenye mtandao wa Instagram kwa kuandika ujumbe unaosomeka “See you soon Africa ”

Hata hivyo safari ya mwanamuziki huyo kuja barani Afrika, huenda imechangiwa na mwanamuziki Rayvanny baada ya kuShare sehemu ya performance yake jijini Mbeya nchini Tanzania ambapo mashabiki walikuwa wakiimba na kulitaja jina la Maluma.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke