You are currently viewing MWANAMUZIKI WA BONGOFLEVA  JUMA JUX ATUA KENYA KWA AJILI YA MEDIA TOUR

MWANAMUZIKI WA BONGOFLEVA JUMA JUX ATUA KENYA KWA AJILI YA MEDIA TOUR

Mwanamuziki Bongofleva, Juma Jux ametua nchini Kenya kwa ajili ya media tour pamoja na kuitangaza brand yake ya African Boy.

Akiongea na waandishi wa habari, Jux amesema kuwa dhumuni lake kuu la kutembea Kenya ni biashara lakini pia atawapa mashabiki zake kwa kutumbuiza kwenye moja ya show yake hivi karibuni.

“Kuna kazi nimekuja kufanya na pia nimekuja kwa media tour na pia kuna club appearances,” alisema Juma Jux.

Utakumbuka kwa sasa Jux anafanya vizuri na wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la “I Love You” ambao ameshirikiana na Gyakie kutoka Ghana.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke