You are currently viewing Mwanamuziki wa Uganda Jowy Landa afunguka sababu za kutokuwa na mchumba

Mwanamuziki wa Uganda Jowy Landa afunguka sababu za kutokuwa na mchumba

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Jowy Landa amefunguka sababu za kutokuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi.

Kwenye mahojiano yake hivi karibuni amesema anaogopa kuchumbiana na mwanaume akiwa anafanya muziki kwani atakuwa kizingiti kikubwa kwake kutunaua wigo kisanaa.

“Wanaume huwa wanatudhulumu sana ila mimi sina mpenzi kwa sasa. Hawa wanaume wanaweza kukuharibia shughuli zako za kimuziki”, Alisema kwenye mahojiano na runinga moja.

Jowy Landa amekuwa akihusushwa kutoka kimapenzi na meneja wake DJ Roja lakini amekuwa akipuzilia mbali madai hayo kwa kusema kuwa hayana ukweli wowote.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke