You are currently viewing NADIA MUKAMI KUMTAMBULISHA MSANII WAKE MPYA MWEZI FEBRUARI 2022

NADIA MUKAMI KUMTAMBULISHA MSANII WAKE MPYA MWEZI FEBRUARI 2022

Msanii nyota nchini Nadia Mukami ametangaza kumsaini msanii wake mpya chini lebo ya muziki ya Sevens Creative Hub mwezi Februari mwaka huu wa 2022.

Kupitia ukurasa wake wa instagram amesema atamtambulisha msanii wake mpya chini ya Seven creative huo Februari mosi mwaka wa 2022 ambapo amewataka mashabiki zake wakae mkao wa kumpokea msanii huyo ambaye pia ataachia video ya wimbo wake mpya ambayo amemshirikisha baada ya utambulisho wake.

Verified

Introducing our new artist 1st February 2022. In the first release, I feature the artist. New Music video loading…… @sevenscreative_hub

For more details email: info@sevenscreativehub.com #AfricanPopStar #JengaSanaaNaSevens

Hata hivyo wajuzi wa mambo kwenye mitandao ya kijamii wamehoji huenda msanii huyo akawa Ssaru ambaye kipindi cha nyuma alinukuliwa kwenye instagram yake akisema mapema mwaka huu atasainiwa na lebo ya Sevens Creative hub ambayo inamilikiwa na Nadia Mukami.

 

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke