You are currently viewing NAIBOI AZIDI KUNG’ARA BOOMPLAY NA OTERO EP

NAIBOI AZIDI KUNG’ARA BOOMPLAY NA OTERO EP

Mkali wa muziki nchini Naiboi anazidi kufanya vizuri kupitia mauzo ya mtandaoni na EP yake “Otero” ambayo tayari ina takriban mwezi mmoja tangu itoke rasmi.

EP ya “Otero” ambayo ndio EP  ya kwanza kwa mtu mzima  Naiboi tangu aanze muziki imefanikiwa kufikisha  zaidi ya Streams laki 5 kwenye mtandao wa kusikiliza na kupakua muziki wa Boomplay.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Naiboi amewashukuru mashabiki zake kwa kuendelea kufuatilia kazi zake ambazo zinazidi kuonyesha mafanikio makubwa ndani ya kipindi kifupi.

Oktoba 29 mwaka huu Naiboi aliwabariki mashabiki zake na EP yake ya kwanza iitwayo “Otero EP” yenye jumla ya mikwaju 9 ya moto, ikiwa na kolabo 6 pekee.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke