You are currently viewing NINCE HENRY AFUNGUKA KUHUSU UHUSIANO WAKE NA MENEJA CHAGGA

NINCE HENRY AFUNGUKA KUHUSU UHUSIANO WAKE NA MENEJA CHAGGA

Msanii Nince Henry kutoka Uganda amekanusha kuingia kwenye ugomvi na meneja wake wa zamani Chagga.

Hii ni baada ya madai kusambaa mtandaoni kuwa wawili hao hawana maelewano mazuri kutokana na ugomvi wa pesa.

Katika mahojiano yake hivi karibuni Nince Henry amesema madai hayo hayana ukweli wowote kwa sababu bado anafanya kazi na Chagga.

Chagga ambaye alimtambulisha nince henry kwenye muziki anajianda kuachia album yake ya kwanza baada ya kufanya kazi ya kuwasimamia wasanii kwa miaka mingi.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke