You are currently viewing NYASHINSKI ATANGAZWA BALOZI MPYA WA JOHNNIE WALKER

NYASHINSKI ATANGAZWA BALOZI MPYA WA JOHNNIE WALKER

Staa wa muziki nchini Nyashinski ameingia ubia wa kufanya kazi na chapa (brand) ya Johnnie Walker kama balozi mpya wa kinywa hicho.

Kupitia mitandao yake ya kijamii Hitmaker huyo wa “Properly” ameshindwa kuficha furaha yake kwa kusema kwamba atatumia nafasi hiyo kukitangaza kinywaji hicho nchi nzima

Awali uongozi wa Johnnie Walker ulisema umeamua kumchagua Nyanshinki kuwa balozi wao kutokana na umaarufu na ushawishi wake kwenye jamii ambapo ulidai atatumia nafasi yake ya usanii kukitangaza vyema.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke