You are currently viewing NYIMBO ZA MICHAEL JACKSON ZAFUTWA KWENYE DIGITAL PLATFORMS ZOTE DUNIANI

NYIMBO ZA MICHAEL JACKSON ZAFUTWA KWENYE DIGITAL PLATFORMS ZOTE DUNIANI

Sony Music ambao ndio wasimamizi wa haki za muziki za marehemu Michael Jackson wameingia kwenye headlines wiki hii.

Hii ni baada ya kufuta nyimbo tatu za Michael Jackson kwenye digital platforms zote ikielezwa kuwa nyimbo hizo hakuziimba yeye enzi za uhai wake.

Nyimbo hizo ni, “Monster”, “Keep Your Head Up,” na “Breaking News,” ambazo zilikuwa zinapatikana kwenye album ya MJ iitwayo MICHAEL ya mwaka 2010.

Album hiyo yenye nyimbo 10 ilitoka mwaka mmoja baada ya Michael Jackson kufariki mwaka wa 2009

Kwa sasa, ni nyimbo saba pekee zimesalia kwenye album hiyo na zinapatikana Spotify, Apple Music, na YouTube

 

Music.

 


 

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke