You are currently viewing OMMY DIMPOZ ADOKEZA UJIO WA KOLABO YAKE NA FALLY IPUPA

OMMY DIMPOZ ADOKEZA UJIO WA KOLABO YAKE NA FALLY IPUPA

Tegemea collabo nyingine ambayo inamuhusisha mkali wa dance kutoka Congo Fally Ipupa na mwanamuziki Ommy Dimpoz baada ya wawili hao kuingia studio huko jijini Paris Ufaransa.

Dimpoz ameshare taarifa hiyo kupitia Instagram page yake kwa kuwataka mashabiki kukaa tayari kwa ajili ya wimbo huo ambao huenda ukatoka hivi karibuni.

Katika post zake za hivi karibuni Ommy Dimpoz amekuwa akilihusisha jina la mwanamke aliyemtaja kama Aisha’ jambo ambalo huenda ikawa ndio jina la wimbo huo tarajiwa.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke