You are currently viewing OTILE BROWN APOTEZA ZAIDI YA VIEWS MILLIONI 190 YOUTUBE

OTILE BROWN APOTEZA ZAIDI YA VIEWS MILLIONI 190 YOUTUBE

Staa wa muziki nchini otile brown amepoteza zaidi ya views millioni 190 kwenye akaunti yake ya youtube mara baada ya nyimbo zake tano kufutwa kwenye mtandao huo na aliyezi-upload.

Awali Otile brown alikuwa na zaidi ya views millioni 229 ila kwa sasa ana jumla ya watazamaji millioni 35.

Nyimbo ambazo zilifutwa kwenye channel ya youtube ya msanii huyo ni pamoja na Dusuma, Such Kinda of love, Chaguo la moyo wangu na Aiyana.

Chaguo la Moyo wangu na Dusuma ni video za muziki zenye watazamaji wengi zaidi kwenye mtandao wa YouTube nchini Kenya.

Mpaka sasa haijafahamika sababu za kushushwa kwa video hizo za Otile Brown.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke