You are currently viewing OTILE BROWN ARIPOTIWA KUNUNUA SUITCASE YENYE THAMANI YA  SHILLINGI 4 ZA KENYA

OTILE BROWN ARIPOTIWA KUNUNUA SUITCASE YENYE THAMANI YA SHILLINGI 4 ZA KENYA

Imekuwa kawaida sasa kwa mastaa Duniani kumwaga mamilioni ya pesa hasa kwenye vito vya thamani, magari pamoja na majumba ya kifahari

Staa wa muziki nchini Otile Brown ameamua kuzitumia ipasavyo pesa anazozikeshea na kuzitolea jasho.

Mkali huyo wa “Rup Up” ametumia kiasi cha zaidi ya shillingi milioni  485,000 za Kenya kununua Suitcase aina ya Louis Vuiton.

Hii ni kwa mujibu wa picha ambazo alizishare kwenye ukurasa wake wa Instagram ikimuonyesha akitua nchini akitokea Afrika Kusini ambako amekuwa vacations kwa wiki mbili sasa.

Hii ni mara ya pili kwa mtu mzima Otile BROWN kununua vitu ya thamani kubwa. Mwezi Machi mwaka huu alinunua pia viatu aina Balenciaga Crocs boots kama zawadi ya kumbukizi ya kuzaliwa kwake iliyomgharimu kiasi cha shillingi elfu 80 za Kenya.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke