You are currently viewing PALASSO AFUNGUKA UHUSIANO WAKE NA ROGER LUBEGA

PALASSO AFUNGUKA UHUSIANO WAKE NA ROGER LUBEGA

Msanii nyota kutoka Uganda Pallaso amefunguka uhusiano wake na meneja wa Spice Diana, Roger Lubega.

Katika mahojiano yake hivi karibuni Pallaso amesema kwa miaka ambayo amefanya kazi na Roger Lubega amekuwa mtu mwema, kwani amekuwa mstari wa mbele kupigania tasnia ya muziki nchini uganda.

Kauli ya Gravitty omutujju imekuja siku chache baada ya Gravity Omutujju kumshambulia Roger Lubega kwa madai ya kuwa mbinafsi na mnafiki kwenye kazi za za muziki.

Utakumbuka mwaka wa 2016 Pallaso alimpa kazi Roger Lubega kuwa meneja wake baada ya kuacha kufanya kazi na Ziza Bafana

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke