You are currently viewing PENZI LA SHAKIRA NA GERALD PIQUE LAVUNJIKA RASMI

PENZI LA SHAKIRA NA GERALD PIQUE LAVUNJIKA RASMI

Mwanamuziki maarufu duniani Shakira amethibitisha kuachana na Gerard Piqué baada ya miaka 11 ya kuwa kwenye mahusiano.

Timu yake ya mawasiliano imetoa taarifa rasmi kupitia mtandao wa Twitter ambapo imeandika “Tunasikitika kuthibitisha kwamba tumeachana rasmi. Kwa ustawi wa watoto wetu, ambao ndio kipaumbele chetu kikubwa zaidi, tunakuomba kwamba uheshimu faragha yao. Asante.”

Sababu kuu iliyopelekea wawili hawa kuachana ni tuhuma za usaliti ambapo inadaiwa Shakira alimfumania Gerard Piqué akiwa na mwanamke mwingine.

Utakumbuka kwa pamoja wamebarikiwa kupata watoto wawili wa Kiume.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke