You are currently viewing PENZI LA SHAWN MENDES NA CAMILA CABELLO LIMEFIKIA KIKOMO.
NEW YORK, NEW YORK - SEPTEMBER 13: Shawn Mendes and Camila Cabello attend The 2021 Met Gala Celebrating In America: A Lexicon Of Fashion at Metropolitan Museum of Art on September 13, 2021 in New York City. (Photo by Theo Wargo/Getty Images)

PENZI LA SHAWN MENDES NA CAMILA CABELLO LIMEFIKIA KIKOMO.

Wanamuziki maarufu wa nyimbo za ‘Pop’ Shawn Mendes na Camila Cabello wametangaza kuachana baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa takribani miaka miwili.

Wasanii hao wawili kutoka bara la America wametumia kurasa zao za mitandao ya kijamii kutangaza uamuzi wao wa pamoja wa kusitisha uhusiano wa kimapenzi.

Hata hivyo, Mendes na Camilla wamehapa kuendelea na urafiki wao licha ya kufika tamati kwa mahusiano yao.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke