You are currently viewing PIA PONDS KUFUNGULIA MASHTAKA PROMOTA KWA KUMSUSHIA TAARIFA UONGO

PIA PONDS KUFUNGULIA MASHTAKA PROMOTA KWA KUMSUSHIA TAARIFA UONGO

Msanii wa kike nchini Uganda Pia Ponds amekanusha tuhuma zilizoibuliwa na promota kuwa alidinda kutumbuiza kwenye onyesho la mkesha wa mwaka mpya  lilofanyika jiji London Uingereza licha ya kulipwa pesa zote.

Kupitia mitandao yake kijamii Pia Ponds amesema mapromota onesho hilo hawakumlipa pesa zake zote lakni pia walikwenda kinyume na maktaba walioweka kabla ya shoo.

Hitmaker huyo “Tuupate” amehapa kumshtaki promota wa onesho hilo kwa kumharibia jina na tuhuma za uongo.

Kauli ya Pia Ponds imekuja mara baada ya promota wa onesho hilo Richmond Promotions kudai kuwa mrembo huyo alisusia kutumbuiza kwenye onesho lao licha ya kulipwa pesa zake zote na hata kupewa kila kitu alichokuwa anahitaji.

Richmond Promotions  alienda mbali zaidi na kusema yupo mbioni kumfungulia mashtaka Pia Ponds kwa madai ya kutoheshimu mkataba wao wa makubaliano kabla ya onesho kuanza.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke